Sorcières blanc

Mizabibu michanga ya Vermentino na ya Roussanne ilipandwa mwaka 2011 kwenye udongo-chokaa. Upandaji wa clonal nyingi (mbinu ya kuzidisha sawa kwa kipande cha mmea wa DNA) na kwa wingi   umatini, kwenye hekta ya viini vya mizabibu7000 , kwenye shina 3309. Mizabibu ya zamani ya  Maccabeo (shamba la 1945) mahali paitwa “Lou Bac”, nafasi ya jadi “mraba” yaani 1.65 x 1.65.

Mavuno kwa ajili ya kupata matunda ya kiwango cha juu na kiwango cha wastani chakari.

Mavuno ya asubuhi, mikononi, usafirishaji kwenye malori ya friji. Ubonyezaji moja kwa moja kwenye nguzo nzima ya  joto la chini na shinikizo la chini (saa 5) kwa ajili ya kuhifadhi tunda kwa kuepuka na mbinu ya oksidesheni.Utuliaji mwepesi wa kuruhusu uundaji wa mabaki muhimu kwa utaftaji sahihi wa chachu. Uchachuaji kwa joto la chini, tankini, katika chachu ya asili.Élevage(Mchakato mmoja baadhi ya michakato ifanywayo wakati wa kubadilisha divai fulani. Mchakato huo unafanywa baada ya mchakato wa Macération  na fermentation lakini kabla ya mchakato wa assemblage)  kwenye mabaki mazuri , uambatizi kwenye udongo, uwekaji chupani mapema mwezi Februari. Shambulio la matunda, hewani, kitamu, divai iliyochujwa lakini sio kupita kiasi, iliyoiva na safi, inayokata kiu, inayomezeka, ambayo inakufanya utake kunywa kwenye vinywaji vikubwa. Ni wazi kwenye jiko la Mediterrania.