Sorcières rouge

50% ya Syrah, 30% ya mizabibu michanga ya Grenage,  20% ya Carignan.

Uteuzi wa mizabibu ya zamani ya Grenache na Carignan kutoka umri wa miaka 40 hadi 80, Syrah (chini ya miaka 25). Uwingi wa udongo- chokaa. Tarehe ya mavuno iliamua kupata tunda la juu wakati wa kuheshimu mizani ya asidi. Mavuno ya mikono. Macération pré-fermentaire (Mchakato wa kuloweka zabibu kabla ya uchachuaji)  katika joto la chini kwenye tanki ya oksidi ya hektalita 128  na urudiaji wa kila siku. Macérations za siku 15 hadi 21 na uchimbaji mpole na uzingativu wa joto. Uchachuaji  jumla wa asidi. 

Elevage (Mchakato mmoja baadhi ya michakato ifanywayo wakati wa kubadilisha divai fulani. Mchakato huo unafanywa baada ya mchakato wa Macération  na fermentation lakini kabla ya mchakato wa assemblage) katika tanki, kwenye mabaki kidogo, miezi 8, SO2 ndogo katika mchakato wa macération na kuwekwa  chupani. Nusu ya mwili divai na mkusanyiko unaorudiwa kwa makusudi kwa ajili ya unywaji wa juu: matunda ya mlipuko, tanini maridadi, mdomo wa hariri … Ladha tangu uwekaji chupani, inaweza kuboresha kwa miaka miwili hadi mitatu.